Mwongozo Wa Ulinzi Wa Data Kwa Biashara Ndogo Na Za Kati Nchini Kenya

  • CIPIT
  • |  
  • April 30, 2021
  • |
  • Manuals

Bunge la Kenya lilipitisha Sheria ya Ulinzi wa Data (Data Protection Act, 2019) ili kuuwezesha Haki ya Faragha kwa kila mja, kama ilivyo amrishwa katika Katiba ya Kenya 2010. Sheria hili lina lengo la kuhakikisha kuwa haki hii ya faragha kwa kila raia wa Kenya limelindwa. Hatua hii ni endeleo kubwa Kenya amabayo itahitaji mabadiliko makubwa katika shughuli za mashirika ya umma na ya kibinafsi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked