HATUA ZA KUZINGATIA UNAPOTATHMINI ATHARI ZA ULINZI WA DATA KATIKA MASHIRIKA MADOGO

  • CIPIT
  • |  
  • September 6, 2021
  • |
  • Manuals

Mwakani 2019, Kenya ilipitisha Sheria ya Ulinzi wa Data (Data Protection Act, 2019 au DPA ). Sheria hii inaelekeza kuwa kabla ya shughuli za usindikaji wa data binafsi, kufanywe tathmini ya athari za usindikaji huo kwa haki za wenye data. Tathmini hii inajulikana kama Data Protection Impact Assessment(DPIA) Kwa vile kuna kampuni na mashirika mengi yaliyo kuwa yamekusanya na kutumia data za watu katika shughuli zao, mashirika haya yanahimizwa kufanya DPIA ili kutambua athari za data walizonazo.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked